Posts

Showing posts from October, 2017

CHURA WA KIHANSI NA SAFARI YA MAREKANI

Image
KIHANSI SPRAY TOADS Taxonomy  👉 Kingdom⟹ Animalia 👉Phylum  ⟹ Chordata 👉Class      ⟹ Amphibia 👉Order     ⟹ Anura 👉Family   ⟹ Bufonidae Vyura wa kihansi kwa jina la kisayansi wanajulikana kama " Nectophrynoides asperginis " ni aina ya vyura wa dogo ambao wanapitikana Tanzania   tu, katika mkoa wa Iringa kwenye bonde la mto Kihansi na chakula chao ni wadudu (insectivorus). IUCN (International Union For Conservation of Nature) walifanya utafiti na kugundua kuwa vyura wa kihansi wapo kwenye hatari kubwa ya kutoweka (Extinct in the wild). Awali uharibifu wa makazi yao ya asili uliotokana na utengenezaji wa bwawa la Kihansi kwa ajili ya kuzalisha umeme ulionza mwaka 1995 na kukamilika mwaka 2000 na kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa cha maji kwa asilimia 90 ambacho kilikua kinatiririka kutoka kwenye maporomoka ya bonde la mto kihansi. Lakini taarifa nyingine za waatalamu zinataja kuwa sababu za kutoweka kwao huenda zilisababishwa na utumiaji wa mb