MANGROVE TREES "(MIKOKO)"

MANGROVE TREES "(MIKOKO)"
Mangrove trees live along shores, rivers and estuaries in the tropics and subtropics. Mangroves are remarkably tough due to live on muddy soil but sometimes also grow on peat, coral rock and sand. They live in water up to 100 times saltier than most other plants can tolerate. Mangroves trees (mikoko) is capable of capture carbon, filter salt water, stop strong waves from ocean and provide fish breeding site. Mangrove trees in Tanzania its found alongside the coastal areas (shores) from Mtwara to Tanga and around Unguja, Pemba and Mafia Islands, but human activities such as charcoal making in the coastal areas lead destruction and disappearance of Mangrove vegetation along the shore of Tanzania.

                           

MITI YA MIKOKO  
Mikoko ni aina ya miti ambayo inapatikana pembezoni mwa bahari ya hindi kuanzia pwani ya Mtwara mpaka Tanga na kuzunguka pwani ya Unguja, Pemba na Mafia katika nchi ya Tanzania. Mikoko ni miti yenye faida kubwa sana kwenye mazingira ya viumbe hai.

FAIDA ZA MIKOKO KATIKA MAZINGIRA YA VIUMBE HAI

  • Mikoko inasaidia kupunguza kasi ya mawimbi makubwa ya bahari ambayo yangeweza kufanya uharibifu katika maeneo ya pwani mwa bahari.
  • Mikoko pia utoa mazingira mazuri ya samaki kuzaliana na kukwepa kasi ya mawimbi makali.
  • Mikoko inauwezo wa kuifadhi hewa ya ukaa (carbondioxide) kutoka angani na kuzalisha oksijeni kupitia kitendo cha mmea kiitwacho "photosynthesis". Oksijeni inayozalishwa utumiwa na mwanadamu na viumbe hai wengine katika mfumo wa upumuaji .
  • Mikoko inachuja maji ya chumvi na kuondoa 90% ya chumvi inayopatikana katika maji ya bahari na kuingia kwenye mizizi yake.
                         






Article by John Kileo

Email:johnkileo@outlook.com

                       



Comments

Popular posts from this blog

MTO KONGO (CONGO RIVER) NA SIFA ZAKE

CHURA WA KIHANSI NA SAFARI YA MAREKANI