Posts

Showing posts from July, 2018

FAHAMU MITO INAYOBEBA KIASI KIKUBWA CHA PLASTIKI KUPELEKA BAHARINI

Image
                        FAHAMU MITO INAYOBEBA KIASI KIKUBWA CHA PLASTIKI KUPELEKA BAHARINI 1. Chang Jiang (Yangtze River) 1,469,481 tons 2 .Indus 164,332 tons 3. Huang He (Yellow River) 124,249 tons 4. Hai He 91,858 tons 5. Nile 84,792 tons 6. Meghna, Brahmaputra, Ganges 72,845 tons 7. Zhujiang (Pearl River) 52,958 tons 8. Amur 38,267 tons 9. Niger 35,196 tons 10. Mekong 33,431 tons                             REFERENCES Christian Schmidt, Tobias Krauth, and Stephan Wagner. (2017).  Export of Plastic Debris by Rivers into the Sea . Published in Environmental Science & Technology. https://www.unenvironment.org/interactive/beat-plastic-pollution/ Article by John Kileo Email : johnkileo@outlook.com

ULIMWENGU WA PLASTIKI AU DUNIA YA WATU

Image
Plastiki ni polymers. Plastiki utengenezwa kwa kiasi kikubwa na material aina ya organic polymers. Polyethylene na nylon ni mfano mzuri wa organic polymers. Kauli mbiu ya mazingira mwaka 2018 duniani kote ni "Kupiga vita uchafuzi wa plastiki" (Beat Plastic Pollution) .  Kilele cha kuadhimisha siku hiyo ya mazingira kilifanyika nchini India. Huku kauli mbiu ya mazingira mwaka 2018 kwa Tanzania ni "Nitunze Nikutunze" ikilenga kusisitiza utumiaji wa nishati mbadala na watu kuachana na matumizi ya mkaa. Note: Polymer is a substance made of many repeating units.   The word polymer comes from two Greek words: Poly, meaning 'many' and meros meaning 'parts' or 'units'. Kwa nini Plastiki? (Tuangalie Historia): Watafiti wanasema kuanzia mwaka 1950 mpaka 1970 asilimia ndogo sana ya plastiki ilikuwa ikizalishwa duniani kote. Kwa sababu hiyo waliweza kusimamia vizuri na kuzuia madhara yatokanayo na plastiki katika mazingira asilia. Lakini

MTO KONGO (CONGO RIVER) NA SIFA ZAKE

Image
MTO KONGO (CONGO RIVER) NA SIFA ZAKE Afrika ni moja kati ya bara ambalo limebarikiwa sana kuwa na vivutio vya aina mbalimbali. Moja kati ya vivutio hivyo ni Mto Kongo. Mto Kongo (Congo River) ni mto wa pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya Mto Nile (Nile River), lakini pia ni mto wa tisa kwa ukubwa duniani. Vyanzo vikuu vya Mto Kongo ni Milima na Nyanda za Juu za Bonde la Ufa la Afrika Mashariki (East Africa Rift Valley), Ziwa Tanganyika (Lake Tanganyika) na Ziwa Mweru (ndio chanzo cha mto Lualaba).                    FAHAMU SIFA ZA KIPEKEE KUHUSU MTO KONGO (CONGO RIVER) Mto wa pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya Mto Nile (Nile River). Mto wa pili duniani kwa kupeleka kiasi kikubwa cha maji baharini baada ya Mto Amazon wa Amerika ya Kusini (South America). Mto Kongo ndio mto wenye kina kirefu zaidi duniani, unakadiriwa kuwa na kina zaidi ya 230 mita. Jina la Mto limetokana na ufalme wa Kongo (Ancient Congo Kingdom) wa hapo zamani, ufalme huo ulikuwepo maeneo ya kar